Search This Blog

Saturday 5 February 2011

Kanumba ajeruhi...

Staa wa filamu mwenye heshima tele ndani na nje ya Bongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great’, (pichani) amejeruhi mtu baada ya kumgonga na gari lake kisha kutoroka, Risasi Jumamosi limeinyaka.

Tukio hilo lililoshuhudiwa hatua kwa hatua na Paparazi wetu na kuvuta hisia za watu wengi lilichukua nafasi nje ya klabu ya mastaa, Bilicanas Posta, Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Alhamisi wiki hii.


More at globalpublishers.info .

No comments:

Post a Comment