Search This Blog

Sunday 6 February 2011

CCM yaadhimisha miaka 34

CCM  imeadhimisha miaka 34 ya kuzaliwa kwake. Sherehe hizo zimefanyika mjini Dodoma na kuongozwa na mwenyekiti wake, DK Jakaya Mrisho Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) na mkewe Mama Salma.
Baadhi ya wanachama wa chama hicho mkoani Dodoma wakishirki katika sherehe hizo kwa njia ya maandamano. More info at globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment