Search This Blog

Saturday 5 February 2011

Ray C ajikwaza

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye hivi karibuni aliripotiwa kumgeukia Mungu wake kwa kuokoka, Rehema Chalamila ‘Ray C’ anadaiwa kujikwaza kutokana na mfumo wake wa maisha aliokuwa akiishi hapo awali.

Rafiki wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake, aliliambia Risasi Jumamosi kuwa, Ray C mara kwa mara amekuwa akijilaumu kwa mambo aliyokuwa akiyafanya kabla hajaokoka ikiwa ni pamoja na kujichora ‘tatuu’ mwilini na kumiliki nguo nyingi zisizofaa kwenda nazo kanisani.

“Ray C kajikwaza kutokana na jinsi alivyokuwa akiishi kabla ya kuokoka, anafikiria jinsi…
More at globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment